Herufi na Akili – Akili and Me

۴٫۶
۵۲۵ مرور
+۱۰۰ هزار
بارگیری‌ها
رده‌بندی محتوا
مناسب برای همه
نماگرفت
نماگرفت
نماگرفت
نماگرفت
نماگرفت
نماگرفت
نماگرفت
نماگرفت
نماگرفت
نماگرفت
نماگرفت
نماگرفت
نماگرفت
نماگرفت
نماگرفت

درباره این بازی

ساسا شوله زمانه رزمی. Je، wayajua maendeleo ya mwanao؟ Umemwandaa kufanya vizuri mwaka huu؟

App yetu ya “Herufi na Akili” itampatia mwanao msingi imara wa Elimu!

این برنامه در مورد تفسیری شما در زبان Kiswahili از #Akili's Alphabet: بازی #1 از Elimu Tanzania yenye mashabiki wengi ، به شما کمک می کند تا 10،000 kwenye Play Store را انتخاب کنید!

“Herufi na Akili” inamwandaa mtoto wako kwa ajili ya kwenda SHULE. برنامه hii hutumia michezo na nyimbo kufundisha mwanao jinsi ya kutamka herufi na kumfunza maneno mapya!

Mtoto wako atafurahia ELIMU na app hii ya BURE inayoletwa kwako na waandaaji wa katuni murua ya elimu-burudani ya "Akili and Me."!

Mwanao atajifunza na Happy Hippo ، Bush Baby na Little Lion ، akiimba na kusikiliza nyimbo za herufi azipendazo kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me".

Hebu mwone anavyocheza kwa raha، akifurahi na marafiki huku akisikiliza HERUFI zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu!

Ubongo، ambao pia ni waandaaji wa katuni nyingine maarufu ya "Ubongo Kids"، wameitengeneza app hii kwa lengo hasa la kumwezesha mtoto wako:

فیدا
- Atambue sauti za herufi.
- Afananishe herufi.
- Ajifunze kwa uwezo na kasi yake mwenyewe.
- Acheze kwa uhuru.
- Apende kujifunza.

ویلویومو
- Jifunze zaidi ya maneno 80 mapya.
- Cheza kwenye mazingira salama kwa ajili ya mtoto.
- Imebuniwa kwa ajili ya watoto wa miaka 3، 4، 5 na 6.
- Haina maksi wala daraja، hivyo mtoto atajifunza bila hofu.
- Ni BURE kabisa. هاکونا غراما زوزوت.
- اینافانیا کازی بیلا متندائو.

Ubunifu wa “Herufi na Akili” ni kwa ajili hasa ya watoto، hivyo mwanao ataielewa app hii bila shida na kuanza kuitumia mara moja.

Mwonyeshe jinsi ya kupanga na kuoanisha herufi mara moja au mbili tu، kisha tazama jinsi anavyocheza mwenyewe kwa uhuru kabisa na kwa raha zake!

ونگوجا نینی؟ Ipakue sasa BURE!

KIINGEREZA - الفبای AKILI
Ahsante kwa kupakua Herufi na Akili. Tumekuandalia pia tafsiri ya app hii inayoitwa "Akili's Alphabet" inayomfundisha mwanao sauti za herufi na maneno mapya kwa lugha ya Kiingereza.

"الفبای آکیلی" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili، huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me". Tafuta tu با "الفبای Akili's" از Google Play استفاده می کنید.

KUHUSU "AKILI و من"
"Akili and Me" ni katuni murua ya elimu na burudani inayoandaliwa na Ubongo، watengenezaji wa "Ubongo Kids" و برنامه ای در برنامه نینگی نی نی برای مراقبت از zilizoundwa mahususi kwa ajili ya watoto wa Afrika.

Karibu Lala Land ، ulimwengu wa maajabu ، ambapo utajifunza na kucheza na Akili! ایمبا نامبا! چزا هروفی! Cheka، chora، na jifunze Kiingereza na Kiswahili na Akili.

Njoo ufurahi na Little Lion، Happy Hippo na Bush Baby kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1 (تانزانیا) ، و Jumamosi pekee saa 3 asubuhi kupitia Citizen TV (کنیا).

KUHUSU UBONGO
Ubongo ni kampuni ya kijamii ya Tanzania inayoandaa vipindi na katuni mahususi za elimu na burudani kwa ajili ya watoto wa Afrika، ikitumia technologyia za kidijitali kama redio، simu، televisheni na vitabu vya mtandaoni kuwafikia popote pale pale

Mkakati wetu ni kuwafurahisha wana wa Afrika، tukiwafunza ili wapende kujifunza zaidi kwa uwezo na nafasi yao، wakitumia technologyia walizo nazo. Njoo utazame vipindi maarufu vya "Ubongo Kids" و "Akili and Me" vinavyofikia zaidi ya nyumba milioni 5.1 barani Afrika.

ONGEA NASI
Kama una maswali، maoni، ushauri ama unahitaji msaada wowote، tafadhali zungumza nasi kupitia info@ubongo.co.tz. Twafurahi sana unapotupa maoni yako.
تاریخ به‌روزرسانی
۱۹ مهر ۱۴۰۰
موجود در
‫Android،‏ *Windows
*ارائه‌شده با بهره‌گیری از فناوری Intel®

ایمنی داده

ایمنی با درک اینکه توسعه‌دهندگان چگونه داده‌های شما را جمع‌آوری و هم‌رسانی می‌کنند شروع می‌شود. شیوه‌های حفظ امنیت و حریم خصوصی داده‌ها ممکن است براساس استفاده، منطقه، و سن شما متفاوت باشد. توسعه‌دهنده این اطلاعات را ارائه کرده است و ممکن است آن را درطول زمان به‌روزرسانی کند.
هیچ داده‌ای با اشخاص ثالث هم‌رسانی نمی‌شود
درباره نحوه اعلام هم‌رسانی داده‌ها توسط توسعه‌دهندگان بیشتر بدانید
هیچ داده‌ای جمع‌آوری نمی‌شود
درباره نحوه اعلام جمع‌آوری داده‌ها توسط توسعه‌دهندگان بیشتر بدانید
متعهد است از «خط‌مشی خانواده‌های Play» پیروی کند

رتبه‌بندی‌ها و مرورها

۴٫۵
۴۸۰ مرور