uTalk - Jifunze lugha yoyote

Ununuzi wa ndani ya programu
3.5
Maoni elfu 3.5
elfu 500+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Jifunze lugha yoyote kutoka lugha yoyote nyingine - uTalk hukuwezesha kuchagua hasa lugha unayotaka kujifunza kutoka lugha 140+. Na unaweza kufanya hivyo - kwa kulandanisha au nje ya mtandao - kwenye kifaa chochote.

Ikiwa imeundwa kutokana na uzoefu wa miaka 25 kutoka kwa ziadi ya wateja milioni 30 duniani kote, uTalk ndiyo namna rahisi, ya kufurahisha na fanisi kujifunza lugha na kupata matokeo ya papo hapo.

Kujifunza kutoka vifurushi zaidi ya 55 vya maudhui vilivyoundwa kwa mikono na utapewa maudhui zaidi bila malipo unapoendelea kujifunza.

uTalk ni:
Rahisi - jifunze mambo zaidi au kidogo utakavyo. Watu waliojisajili wanafurahia uhuru wa kujifunza kitu chochote kwa lugha yoyote; zaidi ya mada 7000 za kipekee. Kuchagua kutoka kwenye vifurushi vyetu vilivyoratibiwa au kuchagua mada za kando ni namna kamilifu ya kuhusisha maudhui yetu maishani mwako.

Inatia motisha - kufurahia kitu ndiyo namna bora ya kuendelea nacho. Kwa hivyo unapoendelea kufurahia michezo ya uTalk, utapewa sarafu na mafanikio ya kufungua muadhui zaidi. Unapojifunza zaidi, ndiyo unavyopata zaidi.

Inatumika kwenye majukwa tofauti - itumie kwenye kifaa chochote na unedelee ulipowachia mara ya mwisho. Kila kitu kinaendelea kikiwa kimelandanishwa na kufanya kazi nje ya mtandao kwa ukamilifu - barabara kuepuka kupata ada nyingi za utambizi ukiwa ng'ambo.

Ya kufurahisha - ina michezo katika viwango tofauti ya kucheza haraka au kupitisha saa ukifurahia.

Halali - tunatumia wazungumzaji na watafsiri wa kuzaliwa kukuletea maudhui yote katika uTalk, wakihakikisha unajifunza kuzungumza kama mzaliwa.

Mahiri - programu maizi zinajua unachojua (na unapohitaji usaidizi zaidi), na kukupangia michezo ya kipekee kwa kiwango chako.

Inafaa kwa Matamshi - katika uTalk, wewe ndiyo nyota. Sauti yako inakuwa sehemu ya michezo unayocheza, kukusaidia kufunza sauti na usikiaji wako huku ukizoea ulichojifunza.

Onyesho - picha zetu zinazovutia zinaunganisha maneno na picha kuharakisha vile akili yako inajifunza, ukitumia ukumbusho wa picha kukusaidia kukumbuka lugha yako mpya.



Kiingereza (US)
Kiingereza (Uingereza)
Kifaransa
Kijerumani
Kihispania
Kiitaliano
Kirusi
Kiholanzi
Kireno
Kiswidi
Kinorwe
Kidenmaki
Kifini
Kihungari
Kigiriki
Kituruki
Kiebrania
Kiarabu (Misri)
Kichina
Kijapani
Kiwelisi
Kimalta
Kicheki
Kislovakia
Kroeshia
Kiserbia
Kibulgaria
Kipolandi
Kiromania
Kihindi
Kiurdu
Kizulu
Kiswahili
Kitswana
Kiajemi (Iran)
Kiaisilandi
Kiafrikana
Kimalesia
Kiindonesia
Kitailandi
Kivietinamu
Kikorea
Kitokpisin
Kiayalandi
Kialbania
Kireno (Brazili)
Kichina (Hong Kong)
Kibengali
Kipunjabi (India)
Kimarathi
Kiassam
Kikannada
Kigujarati
Kimalayalam
Kitelugu
Kitamil
Kisindhi
Kilatini
Kislovenia
Kisardini
Kikatalani
Kibasque
Kihispania (Amerika ya Kilatini)
Kigaeli cha Uskoti
Kiestonia
Kilatvia
Kilithuania
Kiamhari
Kihaiti
Kiigbo
Kiyoruba
Kikambodia
Kilaosi
Kifilipino (Kitagalog)
Kiukrania
Kinepali
Kijerumani cha Uswisi
Kiarabu Sanifu cha Kisasa
Kisomali
Kimaori
Kiburma
Kilasembagi
Kipashto
Kikurdi cha Sorani
Kihausa
Kijojia
Kimasedonia
Kiarmenia
Kimongolia
Kishona
Malagasi
English (Cockney)
Kiingereza (Australia)
Kiingereza (Australia)
Kikalaallisut
Kikurdi (Uturuki)
Kisinhala
Kikazaki
Kiazabajani
Kibelarusi
Kiuzbeki
Kikirigizi
Kitajiki
Kiturukimeni
Kinyanja
Kisamoa
Kachchi
Kitumbuka
Kiganda
Kigalisi
Kitigrinya
Kiajemi (Afghanistan)
Kicebuano
Kibosnia
Kibemba
Kiesperanto
Kifiji
Kiholanzi (Ubelgiji)
Kiilocano
Kijava
Kioriya
Kiwolofu
Kihispania (Ajentina)
Kiarabu (Moroko)
Sicilian
Kiskoti
Kiingereza (Uskoti)
Kiingereza (India)
Pijini (Nigeria)
Kioromo
Kipunjabi (Pakistani)
Kisami (Kusini)
Neapolitan
Ladino
Wu Kichina (Shanghai)
Ilisasishwa tarehe
31 Mac 2025

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine4
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Kujitolea kufuata Sera ya Familia ya Google Play

Ukadiriaji na maoni

3.5
Maoni elfu 3.18

Vipengele vipya

- Urekebishaji wa hitilafu na uboreshaji

Una maswali? Maoni? Umekumbana na hitilafu? Tupigie simu kupitia +44(0)2073717711 au tuandikie barua pepe kwa hello@utalk.com