Shirika la Utangazaji la NHK WORLD-JAPAN linatoa taarifa za hivi karibuni kuhusu Japani na bara la Asia kupitia televisheni, redio na njia ya mtandao kwa wasikilizaji kote duniani.
Ni huduma ya kimataifa ya shirika la utangazaji la umma la Japani, NHK.
[Vipengele]
- Inapatikana katika lugha 19
Kiarabu, Kibengali, Kibama, Kichina, Kiingereza, Kifaransa, Kihindi, Kiindonesia, Kikorea, Kiajemi, Kireno, Kirusi, Kihispania, Kiswahili, Kithailandi, Kituruki, Kiurdu, Kiukraine, Kivietinamu
- Habari za hivi karibuni za Japani na Asia
- Ujumbe mfupi wa taarifa ya dharura kuhusu tetemeko la ardhi, tsunami na Tahadhari ya Dharura ya Hali ya Hewa *Kichina, Kiingereza, Kifaransa, Kihindi, Kiindonesia, Kikorea, Kireno, Kirusi, Kihispania, Kithai, Kivietinamu
- Matangazo mubashara mtandaoni ya TV ya Kiingereza 24/7
- On Demand video na sauti za vipindi kwa lugha mbalimbali
Ilisasishwa tarehe
17 Apr 2025