NABU huleta maajabu ya kusoma kwa watoto, ikiwa na hadithi za bure na za kufurahisha za lugha nyingi katika kiwango cha uwezo wa kusoma wa mtoto. Vitabu vya lugha mbili, vya lugha ya mama husaidia watoto kujifunza na kukua.
Programu ya NABU ni rahisi kutumia - kwa kuunda wasifu binafsi wa watoto wako ambao unaweza kuuboresha kwa kiwango cha kusoma cha mtoto wako na utafute na uvinjari vitabu katika makundi tofauti.
Vitabu vya lugha mbili, vya lugha ya mama vinapatikana kwa Kiingereza, Kiswahili, Kifaransa na Kinyarwanda na vikishapakuliwa unaweza kuvisoma nje ya mtandao.
Stawisha uhusiano wa karibu na mtoto wako na wanafunzi kupitia kupenda kusoma hadithi zinazofaa kitamaduni ambazo hata watu wazima wanaweza kufurahia! Kamwe si mapema sana kuanza kusoma na mtoto wako.
Ilisasishwa tarehe
11 Feb 2025